Utengenezaji wa website
Website za kampuni, maduka na biashara za huduma Unguja, Pemba na Tanzania.
Soma maelezo →UNGUJA · PEMBA · TANZANIA
Kutoka utambulisho wa biashara mtandaoni hadi mifumo na vifaa vya kazi: tuambie mahitaji yako, tukupe maelezo ya huduma inayofaa.
Fungua maelezo ya huduma, kisha tutumie mahitaji yako kupitia fomu au email.
Website za kampuni, maduka na biashara za huduma Unguja, Pemba na Tanzania.
Soma maelezo →Programu na mifumo inayofuata kazi na mahitaji ya biashara au taasisi yako.
Soma maelezo →Majina ya website ya .co.tz, .com na domain nyingine kwa biashara Tanzania.
Soma maelezo →Email za biashara chini ya jina lako, kwa mfano info@biasharayako.co.tz.
Soma maelezo →Hosting kwa website za biashara, taasisi na miradi inayolenga Tanzania na nje.
Soma maelezo →Virtual servers kwa developers na biashara zinazohitaji udhibiti wa mazingira ya programu.
Soma maelezo →SMS za taarifa, vikumbusho na mawasiliano na wateja wako.
Soma maelezo →Laptop, desktop na vifaa vya mtandao kwa biashara na taasisi Unguja, Pemba na Tanzania.
Soma maelezo →Ofisi zetu zimeorodheshwa Mwanakwerekwe, Unguja na Chake Chake, Pemba. Tuambie eneo lako pamoja na huduma unayohitaji ili tujadili utaratibu unaofaa.
Kwenye ombi lako, taja aina ya biashara, kazi unayotaka kufanikisha na muda unaolenga kuanza. Kama una bajeti, unaweza kuitaja.
Tuma ombi la huduma