AFRIHUB · ZANZIBAR NA TANZANIA
Utengenezaji wa website
Website za kampuni, maduka na biashara za huduma Unguja, Pemba na Tanzania.
Huduma hii inakusaidiaje?
Website yako inaweza kueleza huduma, kuonyesha bidhaa au picha na kurahisisha mawasiliano na wateja. AfriHub inajadili nawe aina ya biashara, kurasa na kazi unazohitaji kabla ya kupanga utekelezaji. Kwa biashara za utalii, tunaweza kujadili namna ya kuonyesha huduma, lugha na njia ya kupokea maombi.
Taarifa za kututumia
- Aina ya biashara na wateja unaowalenga
- Kurasa, lugha na kazi unazohitaji
- Logo, picha na maelezo uliyonayo
- Domain iliyopo na muda unaolenga kuanza
Nahitaji website mpya au kuboresha iliyopo?
Unaweza kuomba vyote. Kama tayari una website, tuma link yake na eleza unachotaka kubadilisha. Tutajadili mahitaji kabla ya kukupatia makadirio.
Tujadili mahitaji yako
Taja kama uko Unguja, Pemba au Tanzania Bara pamoja na mahitaji na muda wa kuanza. Gharama na wigo wa kazi vitathibitishwa kulingana na ombi lako.
Omba Utengenezaji wa website