AFRIHUB · ZANZIBAR NA TANZANIA
Vifaa vya TEHAMA
Laptop, desktop na vifaa vya mtandao kwa biashara na taasisi Unguja, Pemba na Tanzania.
Huduma hii inakusaidiaje?
Vifaa vinapaswa kulingana na kazi vinavyotarajiwa kufanya. AfriHub inatoa vifaa vya TEHAMA kwa biashara na taasisi. Tuma matumizi, idadi, eneo na bajeti ili upate pendekezo. Model, upatikanaji, warranty na utaratibu wa kufikisha vifaa vitathibitishwa kwenye quotation.
Taarifa za kututumia
- Kazi zitakazofanywa na vifaa
- Aina na idadi ya vifaa
- Eneo la matumizi au kuwasilisha
- Bajeti na muda unaolenga kununua
Ninaweza kuomba quotation ya vifaa vingi?
Ndiyo. Tuma orodha na idadi ya vifaa pamoja na mahitaji ya kiufundi ikiwa unayo. Upatikanaji na gharama vitathibitishwa kabla ya kuagiza.
Tujadili mahitaji yako
Taja kama uko Unguja, Pemba au Tanzania Bara pamoja na mahitaji na muda wa kuanza. Gharama na wigo wa kazi vitathibitishwa kulingana na ombi lako.
Omba Vifaa vya TEHAMA