AFRIHUB · ZANZIBAR NA TANZANIA
Website hosting
Hosting kwa website za biashara, taasisi na miradi inayolenga Tanzania na nje.
Huduma hii inakusaidiaje?
Hosting ni sehemu ya kuhifadhi na kuendesha website yako. AfriHub ina vifurushi vya website hosting. Chaguo linalofaa hutegemea aina ya website, ukubwa wake na matumizi. Ukiwa unahamisha website, eleza huduma ya sasa na mahitaji ya uhamisho kabla ya kuanza.
Taarifa za kututumia
- Aina ya website na teknolojia inayotumia
- Domain na huduma ya hosting ya sasa ikiwa ipo
- Makadirio ya storage na matumizi
- Kama unahitaji email pamoja na website
Bei ya mwezi inalipwa kila mwezi?
Vifurushi vilivyoorodheshwa kwenye website vinaonyesha bei kwa mwezi, lakini vinaeleza malipo ya kila miezi sita. Kagua jumla ya kipindi na huduma zinazojumuishwa kabla ya kuagiza.
Tujadili mahitaji yako
Taja kama uko Unguja, Pemba au Tanzania Bara pamoja na mahitaji na muda wa kuanza. Gharama na wigo wa kazi vitathibitishwa kulingana na ombi lako.
Omba Website hosting